KARIBU NASAHA
Home Page

Kuhusu TAMPRO

Soma NASAHA za zamani/Ingia katika mitandao ya kiislamu

Habari Za kimataifa

Safu ya Wanawake

Habari katika Picha

Habari katika Show

Habari katika picha magazeti ya ndani

vichwa vya habari magazeti ya Tanzania

Contact Page

Watoto wa kiislamu

Katika Historia

chumba cha wageni

Photo2 Page

Photo3 Page

Photo4 Page

Photo5 Page

Photo6 Page

Shopping Page Page

Kufukuzwa waislam wanapoishi ni sera ya kikafiri(shk.Kundecha)
Nitabia ya makafiri kuwafukuza waislam popote wanapoishi kwa amani.
Hili lilianza tokea wakati wa Mtume (S.A.W)
Sheikh Kundecha alikuwa akiwakumbusha waislam kuhusu udhalimu uliofanywa na serikali ya Tanzania kuwafukuza masheikh waliotekwa na kuhojiwa kwa siri na FBI

Habari za kitaifa
Sheikh wa alharamain afukuzwa nchini akituhumiwa ugaidi Tanga.
Uislamu tanzania
Fanya kusoma kuwa mazoea yako.
Fanya NASAHA gazeti lako.
Utajikuta mwelevu wa ulimwengu wako.

Dr Njozi na mauaji ya mwembechai
Huku waislamu wakisherehekea kuzaliwa kuzaliwa kwa Mtume muhammad na yaliyo mkuta akieneza dini hii.
Waislam wa tanzania hawata sahau yaliyowakuta wenzao mwembechai ndani ya nchi yao wakieneza ujumbe wa Allah.
Soma kitabu cha mauaji ya Mwembechai

Habari za kimataifa
Je ni ukombozi wa iraq au uzayuni ndani ya Iraq.
Pata habari hizi kiundani katika safu ya habari za kimataifa.

Zinduka ewe Msomi wa kiislamu
Safu hii itkuleteeni makala mbalimbali zinazohusu ulimwengu wa mtaalam wa kiislam.
Hakikisha hukosi sehemu hii ili upate mengi yakuhusuyo wewe muislam katika ulimwengu wako wa kiislamu.
Tutumie email yako kuchangia au kuturekebisha